let's make the world a happy place for all

The torch of freedom (Uhuru Torch) / Mwenge wa uhuru

Our organization has participated at Torch of Freedom race ( mbio za Mwenge wa Uhuru) in Urambo District, Date 22 August 2024

The torch of freedom (Uhuru Torch) is one of the national symbols of Tanzania.

It has the design of a kerosene torch that symbolizes freedom and light.

The torch of freedom was raised to the top of Mount Kilimanjaro on December 9, 1961 by the brave Brigadier Alexander Nyirenda. symbolizing brightening the country and crossing borders to bring hope where there is despair, love where there is enmity and respect where there is hatred. The reason for this brigadier to raise this torch is to show the pride of the country and also to bring hope to all Tanzanians by not giving up, loving each other, respecting each other and not arguing which means cooperation. The Freedom Torch Run is held every year from various locations in the country.

Shirika letu limeshiriki katika mbio za Mwenge wa Uhuru _ Wilayani Urambo, Tarehe 22 August 2024

Mwenge wa uhuru ( Uhuru Torch) ni mojawapo ya alama za kitaifa za Tanzania.

Ina muundo wa tochi ya mafuta ya taa ambayo inaashiria uhuru na mwanga.

Mwenge wa uhuru ulinyanyuliwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro mnamo Desemba 9, 1961 na shujaa Brigedia Alexander Nyirenda . ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Sababu ya huyu brigedia kunyanyua mwenge huu ni kuonesha fahari ya nchi na pia kuleta matumaini kwa Watanzania wote kwa kutokata tamaa, kupendana, kuheshimiana na kutogombana ikimaanisha kuwa na ushirikiano. Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka kuanzia maeneo mbalimbali nchini.